Breaking




Friday, 13 October 2017

SALAH AMLI


Sungo blog

Winga wa Liverpool Mohamed Salahamesema kuwa majeruhi ya mchezajimwenzake Sadio Mane ni habari mbaya kwatimu nzima.

Salah amesema hayo baada ya kurejea nchiniUingereza kwaajili ya maandalizi ya mchezowa ligi kuu ya soka nchini England kati yatimu yake ya Liverpool dhidi ya Manchester United kesho.

“Ni kweli hatutakuwa na Mane kwenyemchezo dhidi ya Manchester United lakinitunatakiwa kuungana na kucheza kama timu,habari za majeruhi ya Sadio Mane zilikuwambaya sana kwa kila mmoja ndani ya timu”,amesema Salah.

Salah aliiongoza Misri kufuzu fainali zakombe la Dunia 2018 nchini Urusi kwa maraya kwanza tangu ifanye hivyo mwaka 1990,wakati Mane aliumia akiwa kwenyemajukumu ya timu yake ya taifa ya Senegal.

Mchezo huo utapigwa kesho saa 14:30 kwasaa za Afrika Mashariki ambapo Manchester United itaendelea kumkosa Paul Pogbapamoja na Marouane Fellaini wakati Liverpoolitamkosa Sadio Mane. Manchester United iponafasi ya 2 ikiwa na alama 19 wakati Liverpool ipo katika nafasi ya 7 ikiwa na alama 12.

No comments:

Post a Comment