Breaking




Sunday, 15 October 2017

Show ya Diamond Platnumz Znz, amuongelea Zari jukwaani na dongo la Insta kwa dakika 2



Mwimbaji Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz jana usiku alifanya show Zanzibar kwenye uwanja wa Amaan ambapo pamoja na kutumbuiza, alimuongelea kwa dakika mbili Mama watoto wake Zari The Boss Ladyna jinsi kuzaa na Hamisa Mobetto kulivyomtesa.
Diamond alisema “Hapa katikati yalitokea mambo mengi shetani akaingia katikati, nikaona Mtoto wa Kiganda kacharuka na niliona naelekea kulikosa jiko moja kwa moja” mengine aliyoyasema yapo kwenye hii video fupi hapa chini

No comments:

Post a Comment