Breaking




Thursday 5 October 2017

TFF YAKATAA OMBI LA YANGA KUUPELEKA MWANZA MCHEZO WA SIMBA NA YANGA

Sungo blog



TFF kupitia bodi ya ligi imetupilia mbali ombi la klabu ya Yanga la kutaka mchezo wa ligi kati ya Simba na Yanga ufanyike katika uwanja wa CCM kirumba Mwanza.

Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi,Boniface Wambura amesema  kanuni zimekataa lukubaliana na ombi hilo

"Tumekaa tukaziangalia zile sababu,sisi kama bodi ya ligi hatukubaliani nazo.Tumekaa,tumepitia,tumatafakari maombi ya Yanga hatukubaluani nayo.tumaona mechi itaku kama ilivopangwa"

Yanga walituma maombi TFF kuwa mechi yao dhidi ya Simba Oktoba 28,ichezwe CCM kirumba Mwanza badala ya uwanja wa Uhuru.

Yanga walitoa hoja zao ikiwemo udogo wa uwanja wa uhuru ukilinganisha.na ule wa kirumba-Mwanza

No comments:

Post a Comment