Breaking




Monday 9 October 2017

UMMY AWAOYA WAGANGA WA TIBA ASILI

Sungo blog

Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia , Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka waganga wa tiba asilia kuacha kuwang'ang'ania wagonjwa ambao wanaona hawawezi kuwasaidia kuwapa tiba kabla hawajazidiwa na wawahimize

Akiongea na HOTMIX Mheshimiwa Ummy ameyasema hayo kutokana na uwepo wa idadi kubwa ya wagonjwa wanaofika kupatiwa huduma katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ambapo kati ya wagonjwa 100 wanaofanyiwa uchunguzi ni wagonjwa 80 ambao wanafika wakiwa na hatua mbaya za ugonjwa huo na kushindwa kutibika.
Aidha Waziri Ummy Mwalimu ameagiza hospitali za serikali zote kuhakikisha kuwa zinatoa matibabu ya kansa bure.

No comments:

Post a Comment