Breaking




Saturday 7 October 2017

VEE MONEY KUONGOZA FIESTA IRINGA KESHO

Sungo blog

vanessa mdee

mrembo anayefanya poa katika tasnia yamuziki wa bongo flevavanessa mdee keshojumapili atakua na kibarua cha kuwaongozawasanii wenzake katika tamasha la fiesta 2017 litakalofanyika kwenye uwanja wasamorairingahiyo ni baada ya jana ijumaakufanya tamasha hilo kwenye uwanja wasabasaba uliopo njombe.

mratibu wa tamasha hilo, fauzia abdi aliitaja listi ya wasanii wengine watakaokinukisha samora kuwa ni; joh makini, roma, maua sama, nandy, jux, ben pol, chegge, aslay, blue, stamina, madee na darassa na wengineo kibao.

No comments:

Post a Comment