Breaking




Monday 9 October 2017

WATU 10 WAMERIPOTIWA KUFARIKI BAADA YA HIACE KUZAMA ZIWA VICTORIA

Sungo blog

 Habari zilizotufikia mchana huu wa October 9, 2017 kutoka Mwanza, ni kuhusu ajali iliyotokea ambapo watu 10 wanaripotiwa kufariki baada ya gari walilokuwepo aina ya Toyote Hiace kuzama kwenye Ziwa Victoria katika eneo la Kigongo Ferry, Mwanza.

No comments:

Post a Comment