Sungo blog
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, NaseebAbdul a.k.a Diamond Platnumz ameachiawimbo mpya wenye simulizi yakinachomshinda katika kuishi maisha yamahusiano ambapo hakuacha kusimuliza juuya tukio lililotokea mpaka kupata mtoto wakewa tatu ‘Prince Abdul’ kwa mrembo HamisaMobetto.
Diamond Platnumz kama ilivyo kawaida yakekuyazungumzia mapenzi kwa malalamiko hakuacha kuwahusisha mtayarishaji wa kazi hiyo Lizer na dada yake Esma jinsi walivyomshauri juaa ya patashika alizokutana nazo katika mapenzi ya wapenzi aliowapenda mpaka kufikia hatua ya kutia nanga nzito kwa mama wa watito wake Zarinah Hassan ‘ZariThe BossLady’







No comments:
Post a Comment