Sungo blog
Yanga itaivaa Mbao FC siku ya mwisho wa mwaka 2017, Disemba 31 jijini Mwanza kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 12.
Yanga itamkosa mshambuliaji wake fundi wa mpira Ibrahim Ajib ambaye ana kadi tatu za njano.
Ajib alipewa kadi mwenye michezo ya ligi dhidi ya Stand United, Simba na Prisons.
Hata hivyo kurejea kwa Amissi Tambwe kumeondoa hofu juu ya hatma ya safu ya ushambuliaji katika mchezo huo wa ‘kisasi’.
Msimu uliopita Yanga ilipoteza michezo yote miwili iliyocheza kwenye dimba la CCM Kirumba dhidi ya Mbao FC.
Mbao FC ilishinda bao 1-0 kwenye mchezo
No comments:
Post a Comment