Breaking




Saturday, 23 December 2017

IDADI YA WANAJESHI WA TANZANIA WALIOUAWA CONGO YAONGEZEKA

Sungo blog


 

Mwanajeshi mmoja wa Tanzania ambaye ni miongoni mwa waliojeruhiwa katika shambulio la Disemba 7 nchini DRC amefariki dunia akipatiwa matibabu Uganda. Kifo hicho kimefanya idadi ya wanajeshi waliofariki kwenye shambulio hilo kufikia 15.

No comments:

Post a Comment