Breaking




Monday, 29 January 2018

ANG'OA PAA LA NYUMBA KUMFUKUZA MKEWE

Sungo blog

Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la David Kinyua mkazi wa Gichiche nchini Kenya ameng'oa mabati ya nyumba anayoishi mke wake ambaye anadai amempangisha, akimtuhumu amekaa muda mrefu ndani ya nyumba hiyo kinyume na makubaliano.

No comments:

Post a Comment