Breaking




Thursday, 25 January 2018

BREAKING NEW:SERIKALI YASITISHA UTOAJI WA HATI ZA KUSAFIRIA (PASSPORT) KWA VIJANA,SABABU...

Sungo blog

Waziri wa mambo ya ndani ,Dr.Mwigulu Nchemba amesimamisha utoaji wa hati za kusafiria za jumla na makundi akidai kuwa vijana wengi wanapoenda nje ya nchi wanafanyishwa kazi zisizo za maadili.

Habari kamili inakuja

No comments:

Post a Comment