Breaking




Monday, 29 January 2018

BREAKING NEWS:NABII TITO KUFIKISHWA MAHAKAMANI

.
Sungo blog

 

Baada ya kumkamata na kudai huenda ni kichaa, Jeshi la Polisi mkoani Dodoma leo limemfikisha mahakamani Onesmo Machibya maarufu kama Nabii Tito.

Haijafahamika kosa analoshtakiwa nalo.

No comments:

Post a Comment