Breaking




Tuesday, 23 January 2018

TAYARI NABII TOTO AMEKAMATWA NA POLISI

Sungo blog

IGP Simon Sirro akimsikiliza mhubiri binafsi anayejiita Nabii Tito ambaye jeshi la polisi la polisi mkoani Dodoma limemtia mbaroni leo mjini humo.

*****

Tito Machibya maarufu kama Nabii Tito anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dodoma hivi sasa.

Nabii huyo ambaye amekuwa akionekana mitaani kuhubiri huku akiwa anakunywa pombe hivi sasa maelezo yake yanachukuliwa katika kituo kikuu cha polisi Dodoma

No comments:

Post a Comment