Wednesday, 14 February 2018

HATIMAE JACOB ZUMA AMEAMUA KUJIUZULU

Sungo blog

    


Leo February 14, 2018 Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Urais kwa manufaa ya Chama chake cha ANC na Wananchi wa Afrika Kusini.

Zuma ametangaza hadharani kujiuzulu kupitia vyombo mbalimbali vya habari ambapo amesema asingependa damu imwagike na chama ANC kimeguke kwa sababu yake.

Uamuzi wa Zuma umekuja kutokana na msukumo uliokuwa unatolewa na Chamachake pamoja Bunge la nchi hiyo.

No comments:

Post a Comment