Breaking




Monday, 19 February 2018

MTOTO WA DROGBA AINGIA SOKA LA KULIPWA, AJIUNGA TIMU ILIYOMLEA BABA YAKE

Sungo blog

Isaac ambaye ni mtoto wa kwanza wa kiume wa nyota na gwiji wa Chelsea, Didier Drogba amejiunga ’na soka la kulipwa akijiunga na klabu ya Guingamp ya Ufaransa.

Klabu hiyo aliichezea baba yake akiwa na umri wa miakia 16 akicheza hapo kwa msimu mmoja.

Lakini Isaac naye amejiunga na Guingamp akitokea katika akademi ya Chelsea.

Drogba alijiunga katika klabu hiyo akiwa naumri wa miaka 16 kwa dau la pauni 80,000 akitokea Le Mans.

No comments:

Post a Comment