Breaking




Saturday, 3 February 2018

RAIS AMKABIDHI ‘KIBARUA’ KINGINE ALIYEKUWA MWANASHERIA MKuu

Sungo blog

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli amewaapishaMajaji 2, Mwanasheria Mkuu wa Serikali naNaibu Mwanasheria Mkuu wa Serikalialiowateua tarehe 01 Februari, 2018.

Walioapishwa kuwa Majaji ni Mhe. GeorgeMcheche Masaju na MheGerson JohnMdemu.

MheRais Magufuli amemuapisha MheDkt.Adelardus Lubango Kilangi kuwaMwanasheria Mkuu wa Serikali na Mhe. Paul Joel Ngwembe kuwa Naibu MwanasheriaMkuu wa Serikali.

Matukio yote mawili yamehudhuriwa naMakamu wa Rais MheSamia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu MheKassim Majaliwa Majaliwa,Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. IbrahimHamis JumaNaibu Spika wa Bunge laJamhuri ya Muungano wa Tanzania MheDkt.Tulia Ackson MwansasuKatibu MkuuKiongozi MheBalozi John Kijazi na viongoziwakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.



No comments:

Post a Comment