Sungo blog
Waziri mkuu nchini Ethiopia Hailemariam Desalegn
Imedaiwa kuwa kiongozi huyo aliwasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa chama chake cha Ethiopia People's Demecratic front. Hatahivyo haijabainika iwapo chama hicho kimekubali uamuzi wake au la







No comments:
Post a Comment