Sungo blog
KISUTU: Msanii Wema Sepetu leo amefikaMahakamani kufuatilia kesi yake ya kukutwana msokoto wa Dawa za Kulevya aina yaBangi
Wema amefika Mahakamani hapo akiwa naWakili Albert Msando aliyetangaza kumteteabaada ya Wakili Peter Kibatala kujitoakumtetea msanii huyo
Wakati huo huo, Msanii wa Muziki nchini,Naseeb Abdul(Diamond Platnumz) nayeamefika Mahakamani hapo na Mzazi mwenzake Hamisa Mobetto kwa ajili ya kusikiliza shauri lao la matunzo ya mtoto
Shauri hilo la matunzo ya mtoto lilifunguliwa na Hamisa Mobetto akiomba Mahakama iamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto kila mwezi






No comments:
Post a Comment