Sungo blog
Ofisa wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani ambaye jina lake halijatajwa amepata ajali ya kugongwa na gari wakati akiongoza magari katika makutano ya Barabara yaliyopo Kijitonyama maarufu kama Mataa ya Sayansi jijini Dar.
Hayo yamesemwa leo Machi 16, 2018 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa wakati akizungumza na wanahabari jijini humo.
“Hii ni taarifa ya kusikitisha kuhusu ofisa wa jeshi la polisi aliyekuwa kazini akiongoza magari pale Mataa ya Sayansi, amegongwa na gari na madereva wasiozingatia sheria za usalama barabarani, amevunjika mkono kwenye kiwiko na juu ya kiwiko, pia ameumia kichjwa kwani alianguka chali.
“Muda mfupi uliopita nimetoka kumuona hospitali anaendelea vizuri. Niwaombe madereva wazingatie sheria za barabarani. Bila askari wa usalama barabarani tutashindwa kwenda makazini na walioko makazini watashindwa kurudi nyumbani,” alisema Mambosasa.






Ukiwa umefanya kazi maisha yako yote kujenga familia na urithi, huwezi kuruhusu kivuli cha mtu wa tatu kiiharibu katika miezi michache tu. Niligundua kuwa mabadiliko ya ghafla ya tabia ya mume wangu yalikuwa kuingiliwa kiroho, si tu mgogoro wa katikati ya maisha.
ReplyDeleteNiliwasiliana na Mystic Kakaa kwa ajili ya uingiliaji kati wa kibinafsi. Kazi yake ilikuwa ya upasuaji. Alitambua kivuli na kukiondoa kabisa bila drama yoyote ya umma. Ndani ya siku 5, umakini wa mume wangu ulirudi nyumbani kwetu na katika mustakabali wetu. Ikiwa unalinda maisha yenye thamani kubwa na unahitaji bwana anayeelewa busara, wasiliana naye kwa: dawnacuna314@gmail.com
WhatsApp: +2349046229159
Yeye ndiye kiwango cha dhahabu.
Kwa uchawi wa upatanisho wa uhusiano/ndoa.
Uchawi wa kumfanya mpenzi wako wa zamani/mwenzi wako aombe msamaha.
Uchawi wa kumrudisha mpenzi wako/kumvutia mpenzi mpya.
Uchawi wa kurejesha mali/pesa zilizoibiwa.
Mabadiliko ya umbo/Uchawi wa kutoweka.
Uchawi wa kushinda bahati nasibu/kesi ya mahakama. Na zaidi