Breaking




Tuesday 13 March 2018

AUWAWA NA WANANCHI BAADA YA KUKUTWA AKIFANYA MAPENZI NA NG'OMBE

Sungo blog

BARINGO, KENYA: Kijana Joseph Koech mwenye umri wa miaka 25 auawa kwa kushambuliwa na Wananchi baada ya kukutwa akifanya mapenzi na Ng'ombe

Kijana huyo alijitetea kuwa alilazimika kufanya hivyo kwasababu anawaogopa Wasichana kwakua wengi wana UKIMWI. Kijana huyo anadaiwa kumfunga miguu na pembe Ng'ombe huyo kabla ya kuanza kumuingilia

Aliwasihi watu hao wasimuue wamuache alipe gharama za kosa hilo kwa kutoa kipande chake cha ardhi lakini ombi lake halikusikilizwa

Kutokana na kuvuja damu nyingi alifariki mara baada ya kufikishwa Hospitali ya Eldama-Ravine

No comments:

Post a Comment