Breaking




Sunday, 18 March 2018

BARABARA MBOVU YAMKWAMISHA MKUU WA WILAYA

Sungo blog


 

Zaidi ya magari 30 likiwamo la Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, mkoani Manyara, Tumaini Magessa yamekwama katika eneo la Twanga, Kata ya Namelock mkoani hapa.

Mkuu wa Mkoa huyo na abiria wengine walikwama barabarani hapo kwa saa kadhaa leo Jumapili Machi 18 ambapo barabara hiyo inatajwa kuwa mbovu na kusababisha uharibifu kwa watumiaji wake mara kwa mara.

Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini (Tarura) namshauri wa masuala ya barabara wilayani humo, Gerald Matindi amekiri eneo hilo kuwa korofi na kuongeza kuwa ujenzi umeanza ambapo wanaotengeneza ni Wakala wa Barabara (Tanroads) Mkoa wa Manyara

“Tanroads wako kazini na tayari wameweka vifusi kwa ujenzi huo ingawa bado kuna tatizo la kukwama magari kwa sasa lakini muda si mrefu litaisha,” amesema.


1 comment:

  1. Ukiwa umefanya kazi maisha yako yote kujenga familia na urithi, huwezi kuruhusu kivuli cha mtu wa tatu kiiharibu katika miezi michache tu. Niligundua kuwa mabadiliko ya ghafla ya tabia ya mume wangu yalikuwa kuingiliwa kiroho, si tu mgogoro wa katikati ya maisha.

    Niliwasiliana na Mystic Kakaa kwa ajili ya uingiliaji kati wa kibinafsi. Kazi yake ilikuwa ya upasuaji. Alitambua kivuli na kukiondoa kabisa bila drama yoyote ya umma. Ndani ya siku 5, umakini wa mume wangu ulirudi nyumbani kwetu na katika mustakabali wetu. Ikiwa unalinda maisha yenye thamani kubwa na unahitaji bwana anayeelewa busara, wasiliana naye kwa: dawnacuna314@gmail.com

    WhatsApp: +2349046229159

    Yeye ndiye kiwango cha dhahabu.
    Kwa uchawi wa upatanisho wa uhusiano/ndoa.

    Uchawi wa kumfanya mpenzi wako wa zamani/mwenzi wako aombe msamaha.

    Uchawi wa kumrudisha mpenzi wako/kumvutia mpenzi mpya.

    Uchawi wa kurejesha mali/pesa zilizoibiwa.

    Mabadiliko ya umbo/Uchawi wa kutoweka.

    Uchawi wa kushinda bahati nasibu/kesi ya mahakama. Na zaidi

    ReplyDelete