Breaking




Tuesday 13 March 2018

Kero ya takataka wilayani liwale mkoani lindi.

Wilayani liwale mkoani lindi
Kuna kero ya takataka hili tatizolinafikia takribani wiki tatuu sasa kutokana na tatizo hilo lipatikanalo eneo la soko kuu wilayani liwale ,linaweza sababisha hatari kwa afya za watu ina weza leta hata athari za magonjwa kama  kipindupindu ,inaweza  kusababisha vifo kwahiyo twaomba viongozi wa soko na wilaya kwa jumla wafanye juu chini hii kero iweze kutatuliwa ,

No comments:

Post a Comment