sungoblog
Zari ameibuka na jipya tena huku safari hiiakisisitiza kuwa wale wanaume wakwarewote waliopanga foleni kusubiri penzi la Zarihawana nafasi kwani hana muda wa kuwa nampenzi kwa sasa.
Zari alitangaza kumuacha mpenzi wake naBaba watoto wake staa wa Bongo flevaDiamond Platnumz, mwezi uliopita lakinitangu hapo Kumekuwa na tetesi nyingi juu yaZari kupata mwanaume mwingine wakuchukua nafasi ya Diamond.
Kupitia kurasa yake ya SnapChat Zariameweka wazi kuwa haitaji mpenzi kwa sasabaada ya marafiki zake kumtumia ujumbeuliosema; “Kama mwanaume wako akiendakutafuta vimada wenye msambwanda mpyainabidi umkumbushe kuwa na wewemsambwanda wako mpya ni kwa ajili yamwanaume mpya”.
Zari amedai kuwa marafiki zake wanamtumiameme hizo kama vijembe kwa EX wake lakiniamejibu kuwa hataki mwanaume mpya kwasasa:
"Marafiki zangu siwawezi hivi kwaniniwamekazana kunionyesha hizi Mambo lakinihazinifai mimi….. Nahitaji kutafuta pesa mpyana sihitaji mwanaume kwa muda huusamahani!!!!”.
No comments:
Post a Comment