Wananchi wa Dar Es Salaam hususani wa Kimara, wanaotumia usafiri wa mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini humo UDART,leo majira ya alfajiri, wamejikuta katika wakati mgumu kufuatia mfumo unaofanikisha ukataji tiketi na kuzitambua kadi katika mifumo ya mradi huo, kushindwa kufanya kazi kwa takribani saa mbili..
Kutokana na taharuki hiyo uongozi wa UDART iliwalazimu kusafirisha abiria bure katika kipindi hicho.







No comments:
Post a Comment