Breaking




Monday, 31 July 2017

MALINZI ARUDISHWA RUMANDE HADI AGOSTI 11




Kesi inayowakabiri Rais wa TFF, Jamal Malinzi, Mwesigwa Selestine na Nsiande Isawafo imeahirishwa hadi Agosti 11, mwaka huu.

Leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kesi hiyo ilitajwa na kuahirishwa kwa kuwa

upelelezi haujakamilika.




No comments:

Post a Comment