Breaking




Saturday, 29 July 2017

MSAOUD KIPANYA AIKINGIA KIFUA CHADEMA SAKATA LA KUWAFUKUZA WAANDISHI WA HABARI WA TBC





Kufuati jukwaa la wahariri nchini kutoa onyo kali kwa CHEDAMA baada ya kile kinachosemekana kuwa CHADEMA iliwazuia waandishi wa habari wa TBC kuingia kwenye mkuta wa Tundu Lissu na waandishi wa habari juzi baada ya kupatiwa dhamana, mchoraji maarufu wa katuni nchini Masoud Kipanya(KP) ameibuka na kuandika ujumbe  ufuatao kwenye ukurasa wake wa Twitter



No comments:

Post a Comment