Siku mbili tatu zikizopita tulipata taarifa kwamba klabu ya yanga imemsajili golikipa wa Serengeti Boys,Ramadhan Kabwili kwa mkataba wa miaka mitano.
Kufuatia usajili huo kuna taarifa kwamba wenda yanga wakapewa adhabu kutokana na kukiuka kanuni za usajili ambazo zinaelekeza kwamba mchezaji chini ya umri wa miaka 18 hatakiwi kusaini mkataba wa zaidi ya miaka mitatu.kabwili ana miaka 16 miezi mitatu ijayo atatimiza miaka 17.
Zaidi sikiliza video hii hapa chini kuhusu sakata hilo








No comments:
Post a Comment