
Ewe Mkazi wa Lindi na Mtwara Tembelea Banda lao lililopo katika Viwanja hivyo kujifunza mambo mengi mazuri kutoka kwa Ili uongeze Ufahamu ambao utakuwa wenye tija katika Kilimo na Biashara yako.
Mwananchi akipatiwa maelekezo kuhusiana na Miche Bora ya Mikorosho katika Banda la Naliendele lililoko ndani ya Viwanja vya Nane Nane – Ngongo Manispaa ya Lindi.
Bidhaa Bora kabisa za Mafuta na Korosho Kutoka Banda la Naliendele lililoko ndani ya Viwanja vya Nane Nane – Ngongo Manispaa ya Lindi.
Pia Miche Bora ya Viazi Lishe inapatikana katika Banda hilo.
Pata maelekezo ya Kitaalam ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kutoka kwa Wataalam wabobezi katika Banda la Naliendele lililoko ndani ya Viwanja vya Nane Nane – Ngongo Manispaa ya Lindi.





No comments:
Post a Comment