Breaking




Tuesday, 1 August 2017

Kifaa kilichovumbuliwa kununulia Gas kwa miamala ya simu

Waziri wa Mazingira January Makamba leo August 1, 2017 amekutana na Waandishi wa Habari Dar es Salaam na kusema kuwa yapo Makampuni hapa Tanzania ambayo yamemebuni kifaa maalumu ambacho kitasaidia kununua gesi kwa kutumia miamala ya simu.

No comments:

Post a Comment