Breaking




Wednesday, 2 August 2017

NEWS ALERT: BASI LA SHARON LAPINDUKA HUKO BABATI


Basi la kampuni ya Sharon lililokuwa litatoka Dodoma kwenda Arusha, limepinduka eneo la mabanzini mjini Babati na kusababisha vifo vya watu wawili huku wengine wakijeruhiwa.

Majeruhi wa ajarili hiyo wamepelekwa hospitali ya Mrara mjini Babati.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara  akizungumza juu ya ajali hiyo alisema kondakta na mtoto mdogo ndiyo walifariki.

No comments:

Post a Comment