Breaking




Wednesday, 2 August 2017

WALE WABUNGE NANE WA CUF WALIOVULIWA UBUNGE WAMEWASILISHA PINGAMIZI MAHAKANMANI LEO



Leo August 2, 2017 Mahakama Kuu ya Tanzania imeanza kusikiliza kesi ya Wabunge 8 wa Viti Maalumu wa Chama cha Wananchi CUF waliovuliwa Uanachama na Prof. Lipumba hivyo kupoteza sifa ya kuwa Wabunge.

Katika kesi hiyo inayosikilizwa na Jaji Lugano Mwandambo, maombi yanayosikilizwa ni zuio la Utekelezaji wa mchakato wa kuwaapisha Wabunge Wateule wa CUF pamoja na kuzuia utekelezaji wa Maamuzi ya Baraza Kuu la CUF.

No comments:

Post a Comment