Sungo blog
Viongozi 4 wa dini ya kiislamu pamoja na wanafunzi wao 95 wameshikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuhusika na vitendo vya Ugaidi Mjini Nairobi nchini Kenya.
Imeelezwa kuwa watu hao wamekamatwa kupitia operesheni maalum ambayo imekuwa ikiwasaka wahalifu wanaotumia kivuli cha dini kupanga uovu
Viongozi mbalimbali wa dini hiyo wamekemea kitendo cha kukamatwa kwa viongozi hao ambao ni walimu wa madrasa na wanafunzi wao na kuhoji, Je kufundisha dini/quran imekuwa hatia?
Zaidi angalia video hii hapa chini
No comments:
Post a Comment