Breaking




Tuesday, 25 July 2017

NEWS ALERT: TCU YAVIPIGA STOP VYUO VIKUU 19 KUFANYA UDAHILI MWAKA HUU 2017/18,P ROGRAM 75 KUFUTWA



Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesema kuwa imefanya uhakiki wa vyuo vyote vya elimu ya juu nchini ili kuhakiki ubora wa elimu inayotolewa vyuoni hapo, ripoti ya uhakiki huo ilionyesha mapungufu kadhaa katika baadhi vyuo. hivyo tume imeamua kuchukua uamuzi wa kusitisha udahili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18 kwa vyuo hivyo.

Aidha, Tume hiyo imevitaja vyuo hivyo kuwa ni pamoja na:

Eckenforde Tanga UniversityJomo Kenyatta University, ArushaKenyatta University, ArushaUnited African University of TanzaniaInternational Medical and Technological University (IMTU)University of BagamoyoFrancis University College of Health and Allied SciencesArchibishop James University CollegeArchibishop Mihayo University CollegeCardinal Rugambwa Memorial University CollegeKampala International University Dsm CollegeMarian University CollegeJohns University of Tanzania Msalato CentreJohns University of Tanzania, Marks CentreJoseph University College of Engineering and TechnologyTeofilo Kisanji UniversityTeofilo Kisanji University Tabora CentreTumaini University, Mbeya CentreKilimanjaro Christian Medical University College (KCMCo)

Aidha, kutokana na mapungufu hayo katika vyuo mbalimbali imeamriwa kuwa jumla ya programu 75 kutoka vyuo 22 nchini zimesitishwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18. programu ambazo zimesitishwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2017/18 ni pamoja na







No comments:

Post a Comment