Breaking




Monday, 10 July 2017

WILLIAM NGELEJA AREJESHA FEDHA ZA MGAO WA ESCROW,ADAI AMEONA HAZITAMUACHA SALAMA


Waziri wa zamani wa Nishati na Madini na Mbunge wa Jimbo la Sengerema, William Ngeleja amerejesha rasmi Serikalini fedha alizozipokea kutoka kwa James Rugemalira mnamo tarehe 12/2/2014 katika mgao wa Escrow ambazo ni kiasi cha Shilingi Milioni 40.4 ili kukwepa kuendelea kuandamwa na kashfa hiyo.

Ngeleja amesema kuwa alipokea Fedha hizo bila kujua kwamba fedha hizo zilikuwa zinahusishwa na kashfa ya akaunti ya fedha za Escrow.





No comments:

Post a Comment