Msanii wa Hip Hop Fid Q amedai msanii Omy Dimpoz amefanya jambo la hovyo sana kiasi kwamba hadi sasa haupendi wimbo wake wa fresh
Ommy Dimpoz alitupia picha akiwa na mama Diamond na kuandika maneno ya kumdhalilisha
kitu ambacho fid Q hakutegemea kufika huko kwa kuwa muziki ni burudani na msanii kumdiss mwingine kupitia muziki kunachangamsha game ila sio kutukana wazazi








No comments:
Post a Comment