Breaking




Thursday, 24 August 2017

JERRY MURO ADAI YANGA WALIJIKOSESHA PENATI MAKUSUDI





 

Baada ya Yanga kufungwa kwa penati 5-4 katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Ofisa Habari wa zamani wa Yanga, Jerry Muro aliamua kutoa ujumbe kwa Wanayanga wenzake

kwa kuandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram:

“Sikilizeni Nyinyi.... Hivi mnajua Yanga walijikosesha Penati baada ya kuambiwa kuwa Ngao ya Jamii ni FEKI. 

Kama mnabisha someni jina la Hiyo Ngao ni "COMMUNITY SHEILD 2017 - 2018. 

Wakati UKWELI ni" COMMUNITY SHIELD 2017-2018 " ambayo Mchezo wake wanacheza Yanga na Azam wiki ijayo. 

Poleni Simba wazee wa MAKINIKIA. 

Jerry C. Muro 

Mtwara, Tanzania 

23/08/2017”

No comments:

Post a Comment