Breaking




Tuesday, 22 August 2017

HALIYAESTER BULAYA BADO.SI SHWARI,SASA WAMEAMUA KUMPELEKA HOSPITALI YA MUHIMBILI DAR






Dar es Salaam. Mbunge wa Bunda, Ester Bulaya amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili  (MNH ) baada ya kufikishwa kwenye hospitali hiyo akitokea Hospitali ya Bugando, Mwanza.

Taarifa iliyotolewa leo na Ofisa Uhusiano wa Muhimbili, John Stephen ilieleza kuwa, Bulaya alifikishwa hospitalini hapo jana usiku. "Tulimpokea jana usiku,"alieleza kwa kifupi.

 Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amethibitisha pia kulazwa mbunge huyo MNH,  "amelazwa private, Sewahaji, wodi namba 18," alisema Halima Mdee.

No comments:

Post a Comment