Hatimaye kiungo Haruna Niyonzima ameanza mazoezi rasmi na kikosi chake kipya cha Simba.
Niyonzima ameanza mazoezi leo kwenye Uwanja wa Boko ambako Simba inajifua kabla ya Tamasha la Simba Day, kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam..
Mcheki kwenye video hapa chini
No comments:
Post a Comment