Breaking




Monday, 7 August 2017

RAIS MAGUFULI: SITATAWALA ZAIDI YA MIAKA KUMI ILIYOWEKWA KIKATIBA




Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga kuzindua stendi mpya ya mabasi amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. 

Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ili afanye mambo mengi zaidi.

No comments:

Post a Comment