ALIYOYASEMA RAIS MAGUFULI LEO MKOANI TANGA
"Tumepanga zile promosheni na haki za wafanyakazi ambazo walikuwa wakizipata sasa tutazifungua rasmi waanze kupata."
#Magufuli
#ZiaraTanga
"Kwa watakao kwenda Chuo Kikuu, Tumewatengea Bilioni 483 kwa ajili ya kuwapa mikopo wale watakaofaulu."
#Magufuli
#ZiaraTanga
Rais Magufuli ameitaka Halmashauri ya Mji Korogwe kuyalazimisha mabasi kupita katika kituo kipya cha mabasi bila kujali ama yamejaza au la.
Rais Magufuli amemuagiza mkurugenzi wa Korogwe kugawa vibanda 128 vinavyozunguka stendi ya mabasi kwa wananchi wa Korogwe na si kutoka nje
"Tulifanya mabadiliko 2015 mabadiliko haya ya kulipia VAT ya kila kitu yameleta madhara makubwa." #JPMKorogwe.
"Kwenye mifugo tozo 7 tumezifuta, uvuvi tozo 5 tumezifuta. Nataka wakulima, wafugaji na wavuvi waweze kufaidika na nguvu zao." #John Pombe Magufuli....Korogwe.
"Niwaombe viongozi wa Tanga mlizingatie hili, Wakulima wanahangaika na nguvu zao wasije wakatozwa na viushuru ushuru". #John Pombe Magufuli ...Korogwe.
"Akikusimamisha mwenye risiti ya ushuru mwambie akalime. Mahindi, Mpunga na chochote utakachopakia zaidi ya tani 1 ndio ulipe." #JPMKorogwe.
"Sasa mkulima ukipakia mahindi yako yasiyozidi tani 1 hakuna kulipa ushuru. Pita tu hakuna mtu atakayekusimamisha." #JPMKorogwe.
"Kuanzia mwaka huu wakulima walikuwa na tozo zaidi ya 80 walizokilipa kwa mazao yao tumeamua ugonjwa wa ushuru tuupunguze nguvu". #JPMKorogwe.
"Kuna Shule ya Msingi eneo la jirani limeuzwa yote ninayabeba. Nataka muamini mimi ni mtumishi wenu, ni Rais wa Watanzania wote." #JPMKorogwe.

"Ninajua hapa kuna kero nyingi mnazo ninafahamu nilikuwa hata nayaona hayo mabango mliyoyainua". #JPMKorogwe.
No comments:
Post a Comment