TAARIFA KWA UMA
Kuna taarifa nyingi za uongo na za kupotosha zinasosambazwa kwenye mitandao ya jamii na vyombo vya habari zikisemekana kwamba zimetolewa na Mimi.
Naomba nikanushe.
Baada ya tukio la Jumamosi, sijaongea na chombo chochote cha habari na wala kutoa 'statement' yeyote kuhusiana na tukio hilo la kuitwa Jukwaani na Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli. Ndio nimerudi kutoka Tanga Leo, muda muafaka utafika wa kuzungumzia jambo hilo kwa kirefu.
Ruge Mutahaba
No comments:
Post a Comment