Klabu ya Simba imenogesha sherehe ya Simba Day kwa kufanikiwa kuichakaza klabu ya Rayon Sports FC kutoka Rwanda kwa bao 1-0 katika mechi ya kirafiki iliyofanyikia kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam jioni ya leo.
Mohamed Ibrahim akishangilia baada ya kutupia goli la ushindi
Bao la ushindi la Simba SC limefungwa na Mohamed Ibrahimu kunako dakika 15 za kipindi cha kwanza cha mpambano huo ambao Rayon Sports FC walionekana kuelemewa kwa kiasi kikubwa.
Tazama picha za Matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye mechi hiyo katika kuadhimisha siku ya klabu hiyo (Simba Day)
Mohamed Ibrahim akishangilia baada ya kutupia goli
Mashabiki wa Yanga nao walikuwepo
Haruna Niyonzima Akitambulishwa Mbele ya Mashabiki wa Simba kwenye Tamasha la Simba Day Linaloendelea Uwanja wa Taifa Muda Huu
Gyan
Okwi
Kocha Mkuu Omong
Jackson Mayanja
Manara
Msemaji wa Simba Haji manara Akiwatambulisha Nahodha Msaidizi Mohamed Husein kwa Mashabiki wa Simba Akiwa Sambamba na Nahodha wa Timu hiyo Mwanjali
No comments:
Post a Comment