Breaking




Thursday, 24 August 2017

MASWALI 22 AMBAYO MKUU WA WILAYA HAI ALIWAULIZA WALIMU KABLA YA KUAMURU MWALIMU MMOJA AKAMATWE BAADA YA KUSHINDWA KUTAJA JINA LAKE



Wakati sakata la Mkuu wa Wilaya ya Hai, Gelasius Byakanwa kumsweka mahabusu mwalimu wa sekondari kwa kushindwa kutaja jina lake likiendelea kuzua mjadala, imedaiwa kuwa siku hiyo aliwauliza walimu aliokuwa na kikao nao maswali 22.

Read more »

No comments:

Post a Comment