Breaking




Monday, 14 August 2017

NEW.SONG: MRISHO MPOTO Ft KASSIM MGANGA~KITENDAWILI





Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto Jumamosi hii ameachia wimbo wake mpya ya wimbo ‘Kitendawili’ akiwa amemshirikisha Kassim Mganga. Audio imeandaliwa katika studio za Combination Sound chini ya producer Man Walter.



No comments:

Post a Comment