Breaking




Monday, 21 August 2017

PICHA 4: Kutoka Msoga Chalinze shambani kwa Rais Mstaafu JK

Rais mstaafu wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete ameendelea na kuwekeza nguvu zake katika kilimo wakati huu ambao amestaafu majukumu yake ya Urais.
Rais Kikwete kutumia ukurasa wake wa instagram amepost picha nne akiwa shambani kwake Msoga Chalinzekatika shamba la mahindi wakivuna, Rais mstaafu Kikwete alikuwa akivuna na mkewe Mama Salma Kikwete.
“Tunakamilisha msimu wa mavuno kijijini Msoga Chalinze, umekuwa msimu mzuri”>>> Rais Kikwete
Image result for oscar superlucky
Na Oscar Superlucky 

No comments:

Post a Comment