Breaking




Sunday, 13 August 2017

ULIIPATA HII YA PAUL MAKONDA KUKOSA PANAITI?


Timu ya Wabunge.

IKIWA ni sehemu ya shamlashamla za Tamasha la Usalama Barabarani lililofanyika jana katika Uwanja wa wa Uhuru Dar kulikuwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii pamoja mchezo wa mpira wa miguu ambapo iliwakutanisha mabalozi wa usalama barabarani na wabunge. Miongoni mwa wachezaji wa timu ya mabalozi ni mkuu wa mkoa wa Dar,Paul Makonda.

Timu ya Mabalozi wa Usalama Barabarani.

Katika mchezo huo uliomalizika dakika 90 bila kufungana hivyo refa aliamua kupeleka mpira kwenye matuta ili apatikane mshindi.

Watazamaji.

Katika mikwaju hiyo ya penati ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda aliyeyekuwa akichezea timu ya Wabunge, alikosa penati ya kwanza.

Mtanange ukipigwa.

RC Makonda akisubili mpira.

Mchezo ukinoga.

SHUHUDIA VIDEO YA MAKONDA KUKOSA PANAITI



No comments:

Post a Comment