Breaking




Sunday, 6 August 2017

VYOMBO VYA HABARI VYAPINGA AGIZO LA RAIS MAGUFULI



 

Jana wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa bomba la Mafuta la Tanzania na Uganda uliofanyika kule Tanga Rais magufuli aliwakutanisha pamoja Mkuu wa mkoa wa Dar,Paul Makonda na Mkurugenzi wa CLoud Media Ruge mutahaba na kuwaagiza wamalize tofauti zao kwani wote ni vijana wachape kazi na anawapenda.

Rais magufuli alichukua hatua hiyo baada ya kubaini kwamba wawili hao walikuwa hawaelewani kutokana na tuhuma mbalimbali walizokuwa wakitupiana.

Cha ajabu ni kwamba leo magazeti yamegomea kuandika au kugusia habari hiyo isipokuwa gazeti moja tu la MZALENDO ndio limeandika habari ya upatanisho huo.



nilichobaini ni kwamba licha ya upatanisho huo  vyombo vya habari bado vinaendela na msimamo wake wa kumfungia vioo Paul Makonda.
 




No comments:

Post a Comment