Kufuatia agizo la jeshi la polisi Mkoa wa Dar es salaam la kuwataka wamiliki wote wa magari mkoani humo watoe vioo vyeusi (Tinted) kwenye magari yao hadi kufikia jumatatu Agosti 7,2017, tayari baadhi ya watu wameanza kutii agizo hilo ambapo wameonekana wakitoa vioo aina hiyo kwenye magari yao.
Jeshi la polisi Dar limetoa agizo hilo kufuatia operesheni maalumu itayoanza kesho jumatatu na jeshi hilo la kuwasaka wahalifu ikiwemo kukagua kwenye magari hivo kutoa vioo vya aiana hiyo kwenye gari lako itakusaidia kuondoa usumbufu wa kukaguliwa mara kwa mara.
No comments:
Post a Comment