Sungo blog
Shule ya Msingi ACCT ambayo inpatikana maeneo ya Segerea jijini Dar es salaam leo Jumamosi Septemba 02, 2017 imefanya sherehe za mahafali ya ya sita tangu kuanzishwa kwa shule hiyo, kuwaaga vijana 37 wa darasa la saba wanaotarajia kuanza mitihani ya kuhitimu wiki ijayo.
Sherehe hiyo ambayo Mtilah Blog ilialikwa kama mdau wa maendelo ya elimu ilisheheni burudani mbalimbali .
Zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio mbalimbali
Mgeni Rasmi anaingia uwanjani na kupokelewa na vijana wa Scout
Brass Band inaingia uwanjani
Wahitimu (Darasa la Saba wanaingia uwanjani kwa madowido)wakiingia uwanjani
Wanafunzi wanaobaki wanaimba Shairi
Wanafubzi wanaobaki wakifanya Igizo
Kulia Mgeni Rasmi, Mussa waziri akiwa na mkuu wa shule
Wanafunzi wanaobaki wakifuatilia kinachoendelea uwanjani
Wahitimu wakicheza kwaito
Mhitimu anafafanua alichojifunza darasani
Mgeni Rasmi anagawa vyeti kwa wahitimu
Mzazi na mwanae
Wazazi wakifurahi na wanao
Miss ACCT Primary 2017 ambae alichaguliwa kwenye hafla hiyo
Vijana wa Sarakasi wakifanya yao
HAPA CHINI NI VIDEO ZA MATUKIO MBALIMBALI
PICHA ZOTE NA Karim Mtila
Video zaidi za sherehe hiyo zinapatikana Youtube channel ya Mtilah Blog
No comments:
Post a Comment