Breaking




Wednesday 4 October 2017

MRISHO GAMBO: SINA TATIZO NA LEMA


Sungo blog


mrisho gambo amefunguka na kusemambunge wa arusha mjinigodbless lemaanapaswa kutambua kuwa yeye kama mkuuwa mkoa anajishughulisha na matatizo yawatu hivyo kama hatabadili aina ya siasaazifanyazo  basi anapoteza muda wake kwamiaka mitano yote.

gambo amesema kuwa yeye hana tatizololote na mbunge huyo wa arusha mjini nakudai kwamba anapaswa kutambua na kubadili aina ya siasa anazofanya kwa kuwa yeye amelenga kutatua matatizo na changamoto za watu wa arusha mjini.

"msuguano na mbunge haupo lakini anatakiwa tu asome alama za nyakati kwamba mkuu wa mkoa wa sasa amedhamiria kuhangaika na shida za watu kama hatalitambua hilo atapoteza muda wake kwa miaka yake yote mitano" alisema mrisho gambo.

aidha mkuu wa mkoa huyo amesema kuwa yeye kama kiongozi kijana anahitaji zaidi kukosolewa kuliko kusifiwa ili aweze kujirekebisha sehemu ambayo ana mapungufu ili aweze kuwa kiongozi madhubuti na mahiri zaidi.

No comments:

Post a Comment